Biashara ya yeboyebo

Viatu vingi hasa vya kike ni range ya 3200 hadi 4500 kwenye katoni, ambayo inakua na viatu 24 au 36. Lakini yebo ndo zipo za chini ya 3500 nyingine 1800 lakini vinakaa 60 kwenye kiroba. So discussion inaweza kuwa ndefu kidogo kuanzia hapa
Nami nimeelewa ufafanuzi mzuri.
Ah! Nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…