Biashara ya Waxing iko hatarini

Mtu anaefanya waxing hizo sehemu nyeti, namuona hero/heroine wa aina fulani, maana maumivu yake...sipati picha
 
Boflo ni kiumbe wa ajabu sana chunguzeni post zake tu mtajua.
 
Last edited by a moderator:

ni kweli Boflo tatizo siyo matango au yanakotoka bali humwagiwa madawa ya namna kuleta madhara ya namna hiyo kwa mwanadamu. Kwa lugha nyingine ni kuwa kama madawa hayo yanatumika hapa basi huenda madhara hayo tunayo labda kwa kiwango kidogo na kwa vile hatuna utafiti tunajikuta hatujui jinsi tunavyojimaliza wenyewe na hizi kemikali za kudhibiti magonjwa ya mimea na magugu mashambani.
 
Boflo naona sasa unafanya baby sitting kwa baby mtoto na baby mzee looh hongera kwa kulea.
Hiyo waxing mie naipenda sana na huwa naishia mikononi na miguuni kwenye arm pit au private parts anashuhulikia baba nanihii ambaye huwa anafyeka kichaka kabla ya kupanda mbegu heheheee, sio afyeke mwingine kupanda na kumwagilia afanye mwingine. Nipe maeneo mapya ambayo wanafanya hizo waxing kwa hapa Dar pls maana kijiwe changu kimefungwa tangu mwezi wa 3 mwaka huu wamehama nchi.
 
Last edited by a moderator:
loh... mie hiyo waxing sijaitumia kabisa topaz inatosha
 
sehemu bomba ambayo ni unisex hata mm nakwenda ni
Chick salon 0713 320 307 iko samora na price ni reasonable Preta. Njoo bac
 
sehemu bomba ambayo ni unisex hata mm nakwenda ni
Chick salon 0713 320 307 iko samora na price ni reasonable Preta. Njoo bac

Thanks for info, nitadhuru siku za week ends au hawafanyi kazi on weekends?
Ila ukisema unisex unamaanisha wanahudumia wateja wanawake na wanaume kwa wakati mmoja?
Hope hakuna camera, maana mambo ya kuja kuanikana mtandaoni kama demo inakuwa sio, pls Boflo info.
 
Last edited by a moderator:
Sunday wanakuwa closed, na wana wateja wengi
huwezi jiendea tu kama salon za Arusha kwa kina Preta
lazima uwapigie for appointment
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…