Hata sielewi elewi...
By default ukifanya waxing unaondoa vinyweleo vyote kuanzia kwenye mzizi...sasa najiuliza kwa nini tena tushangae kuwa waxing inasababisha kipara wakati ndio ilikuwa lengo lake..hiyo si mambo ya waxing bikini line na wewe.........
Hujaelewa nini shosti?
Matango ya Monsanto, yanasabisha upungufu wa mavuzi. Yaani huko sehemu nyeti panakuwa kipara. Athari zimejitokeza teyari nchi za America na Ulaya Acheni kula pickles pia maana zinatengenezwa na hayo matango! Wanatumia dawa gani katika ulimaji? Wasije wakafanya Africa iwe dumping ground ya hiyo dawa! Lakini huenda ni habari njema kwa wanaopenda kuwa vipara huko mahala! Ila biashara ya 'waxing' inaweza kufa kabisa
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine
View attachment 96187
By deafault ukifanya waxing unaondoa vinyweleo vyote kuanzia kwenye mzizi...sasa najiuliza kwa nini tena tushangae kuwa waxing inasababisha kipara wakati ndio ilikuwa lengo lake..

Hiyo picha hapo ni waxing ama skinning?
Pickle tunakula za local made na ujue waxing ni ghali. Kama ni cancer miaka hii michache tumebakiza ya kuishi haitotubamba.