Biashara ya Viungo "SPICES" njoo chapu

Jitu 1

Member
May 9, 2021
44
47
Kwa mahitaji ya viungo kama Iliki, Karafuu, Tangawizi kavu na Pilipili Manga nicheki kupitia namba hii 0786360818. Bei zetu ni za jumla tupo Tanga Muheza na usafiri ni juu yako. Hata zaidi ya tani kumi zinapatikana.

IMG-20210627-WA0007.jpg
 
Kama nipo Arusha nadhani Tangawizi nitachukulia Same, Kilimanjaro....hizo viungo vingine ni sawa Tanga hamna mshindani.

Nahitaji ila bado kuna mipango naiweka sawa nitawatafuta.
 
Back
Top Bottom