Biashara ya Viumbe Hai

Biashara ya Viumbe Hai

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri
1.Mtaji
2.Maeneo ya kupata hivi viumbe
3.Vibari
4. soko
5.namna ya usafirishaji na gharama zake
6.Namna ya kupata connection za hawa wateja
7.mfumo wa malipo na mengineyo mengi...
 
Wadudu,mijusi,ndege,wanyama na vinginevyo..
 
Mtaji ukishakuwa na vibali hata 25million inatosha, shida ni upatikanaji wake maana viko limited sana.

Soko lote ni nchi za ulaya / tena soko lenye uhakika( mazungu yana pesa asee)

Upatikanaji wake unadepend na specie unayotafuta, mfano ndege camp kuu ni dodoma wako aina zaidi ya 100, jongoo, vipepeo na vyura ni dar es salaam jangwani, kuna nyoka, mijusi ngiri, kwenye mapango mwanza

Kuhusu ukamataji kuna wataalam wa hizo kazi huko maporini, wanakamata kisha wanakuuzia, na kumbuka hawa viumbe ni wale wanaopatikana tu njee ya hifadhi, hairuhusiwi kuingia ndani ya hifadhi.

Pia inatakiwa uwe na sehemu/kitalu cha kuwahifadhi iliyokidhi vigezo vya maliasili na vyakula vya kuwapa hapa kuna gharama kidogo, pia kabla ya kuwasafirisha inatakiwa wapitie maabara wakapimwe afya .

Biashara hii ilikuwa inalipa sana maana kulingana na uhaba wa hao viumbe huko ulaya wazungu walikuwa, wanakutumia hela na idadi ya product wanazotaka ndio unaanza kuwatafutia.

Pia serikali ilikuwa imeweka utaratibu kabla ya kuanza kukamata lazima upeleke idadi ya jumla unaotaka kukamata unawapa kodi yao 15% kwanza ndio unaingia mzigoni, mfano bei ya jongoo mmoja hadi 2016 ilikuwa 1.2 usd

Kiufupi kuna mambo mengi mengi sana kwenye hii biashara siwezi eleza yote, mimi niliwahi kuhudumu kwenye kitalu cha millionaire mmoja hapa bongo, kunafaida kubwa maana bidhaa huku hununui ni bure ni kodi na kulipa wakamataji na
matunzo.

Mambo yaliharibika 2016 ******** alivyoingia madarakani akapiga marufuku hii biashara. Akamuweka kingwangala kuwa waziri wakaenda wakataifisha mali zote za watu ambazo tayari zilikuwa zina order na kodi zimeshalipiwa serikalini,

Wakazuia wanyama wale hadi wengine wakafa, wakadanganya wafanya biashara wenye vitalu kuwa serikali inaandaa utaratibu mzuri, ndani ya miaka 3 biashara inarudi, watu wakapoteza pesa kuhudumia vitalu,kulisha wanyama,na chanjo ndio baadae kingwangala anakuja na tamko kuwa wamepiga marufuku kabisa hakuna hata chawa atakae safirishwa njee ya nchi.

Mwaka jana baada ya kumaliza masomo nilienda kumdadisi yule bosi biashara imefikia wapi maana wanaumoja wao wa wanaofanya hizo biashara, akasema hali mbaya now anaishi kwa kutegemea kodi kwenye magorofa yake biashara imeshindikana.

Tanzania tunaspecies nyingi nchi majirani zikasome tunandege, mijusi, vipepeo, nyoka waaina nyingi yanni tanzania ilikuwa haikamatiki now, majirani zetu Kenya, uganda na nchi nyingine ndio wazungu wameamia kununua.

Kumbuka pia hawa ndege wanahama kutoka Tanzania kwenda kenya kufatana na msimu, wakienda kule hukamatwa, wakirudi huku tunawaacha. Yaani ni kama uzuie kuvuna samaki ziwa victoria huku wenzetu wanaendelea kuvuna.

Kichekesho nikwamba tanapa kila mwaka, wanakodi ndege kuwauwa/kupunguza wale ndege/nyoka waharibifu. Just imagine jongoo ni 1.5 usd . Kipepeo dola 5, kuna ndege dola 100 mmoja. Nyoka dola 120

Eti wanasema soko la ndani, mtanzania gani atatoa hata 100 akaangalie kipepeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it bro!Unaijua Hii biashara In -out
 
Dah imeniuma sana niliposoma hapo walipozuia hii biashara na kutaifisha vitalu vya watu ambao walifuata sheria na kodi walilipia tayari. Hivi hii nchi inafanya nini kwa wananchi wake? Kweli kila biashara imeingiliwa.

Watu wanafunga maduka yao, wanafunga biashara zao, kodi nyingi na vikwazo ni vingi kupindukia.

Sijui kama tutafika.
 
Mtaji ukishakuwa na vibali hata 25million inatosha, shida ni upatikanaji wake maana viko limited sana.

Soko lote ni nchi za ulaya / tena soko lenye uhakika( mazungu yana pesa asee)

Upatikanaji wake unadepend na specie unayotafuta, mfano ndege camp kuu ni dodoma wako aina zaidi ya 100, jongoo, vipepeo na vyura ni dar es salaam jangwani, kuna nyoka, mijusi ngiri, kwenye mapango mwanza

Kuhusu ukamataji kuna wataalam wa hizo kazi huko maporini, wanakamata kisha wanakuuzia, na kumbuka hawa viumbe ni wale wanaopatikana tu njee ya hifadhi, hairuhusiwi kuingia ndani ya hifadhi.

Pia inatakiwa uwe na sehemu/kitalu cha kuwahifadhi iliyokidhi vigezo vya maliasili na vyakula vya kuwapa hapa kuna gharama kidogo, pia kabla ya kuwasafirisha inatakiwa wapitie maabara wakapimwe afya .

Biashara hii ilikuwa inalipa sana maana kulingana na uhaba wa hao viumbe huko ulaya wazungu walikuwa, wanakutumia hela na idadi ya product wanazotaka ndio unaanza kuwatafutia.

Pia serikali ilikuwa imeweka utaratibu kabla ya kuanza kukamata lazima upeleke idadi ya jumla unaotaka kukamata unawapa kodi yao 15% kwanza ndio unaingia mzigoni, mfano bei ya jongoo mmoja hadi 2016 ilikuwa 1.2 usd

Kiufupi kuna mambo mengi mengi sana kwenye hii biashara siwezi eleza yote, mimi niliwahi kuhudumu kwenye kitalu cha millionaire mmoja hapa bongo, kunafaida kubwa maana bidhaa huku hununui ni bure ni kodi na kulipa wakamataji na
matunzo.

Mambo yaliharibika 2016 ******** alivyoingia madarakani akapiga marufuku hii biashara. Akamuweka kingwangala kuwa waziri wakaenda wakataifisha mali zote za watu ambazo tayari zilikuwa zina order na kodi zimeshalipiwa serikalini,

Wakazuia wanyama wale hadi wengine wakafa, wakadanganya wafanya biashara wenye vitalu kuwa serikali inaandaa utaratibu mzuri, ndani ya miaka 3 biashara inarudi, watu wakapoteza pesa kuhudumia vitalu,kulisha wanyama,na chanjo ndio baadae kingwangala anakuja na tamko kuwa wamepiga marufuku kabisa hakuna hata chawa atakae safirishwa njee ya nchi.

Mwaka jana baada ya kumaliza masomo nilienda kumdadisi yule bosi biashara imefikia wapi maana wanaumoja wao wa wanaofanya hizo biashara, akasema hali mbaya now anaishi kwa kutegemea kodi kwenye magorofa yake biashara imeshindikana.

Tanzania tunaspecies nyingi nchi majirani zikasome tunandege, mijusi, vipepeo, nyoka waaina nyingi yanni tanzania ilikuwa haikamatiki now, majirani zetu Kenya, uganda na nchi nyingine ndio wazungu wameamia kununua.

Kumbuka pia hawa ndege wanahama kutoka Tanzania kwenda kenya kufatana na msimu, wakienda kule hukamatwa, wakirudi huku tunawaacha. Yaani ni kama uzuie kuvuna samaki ziwa victoria huku wenzetu wanaendelea kuvuna.

Kichekesho nikwamba tanapa kila mwaka, wanakodi ndege kuwauwa/kupunguza wale ndege/nyoka waharibifu. Just imagine jongoo ni 1.5 usd . Kipepeo dola 5, kuna ndege dola 100 mmoja. Nyoka dola 120

Eti wanasema soko la ndani, mtanzania gani atatoa hata 100 akaangalie kipepeo

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa sana, poleni sana mlioharibu mitaji yenu! Nilitamani kuingia hii biashara kupitia vinyonga wa Lushoto wenye horn! Niliwapenda sana wale.

Exposures kwa viongozi wetu ni muhimu jamani, huu ujima sasa ni too much!!
 
Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri
1.Mtaji
2.Maeneo ya kupata hivi viumbe
3.Vibari
4. soko
5.namna ya usafirishaji na gharama zake
6.Namna ya kupata connection za hawa wateja
7.mfumo wa malipo na mengineyo mengi...

3. Soko:- kuna soko zuri sana ulaya wa hawa viumbe tena wa kila aina unayoifikiria. Sababu wazungu ni wadadisi sana ila hawana aina nyingi sana za species ukilinganisha na nchi kama Tanzania. Hadi panya ni dili.

Masoko ni kwenye Zoo, parks, farms, nyumba binafsi as pets.

Kama ikifanywa kuzingatia misingi na masharti yote (safety, ethics, ecological and enviromental) ni biashara inayoweza kuwapatia watu binafsi na serikali pato kubwa. Kuna wanyama ambao hawaruhusiwi kusafirishwa na wengine wanahitaji vibali maalum.

20190624_154429.jpg
20190624_155000.jpg
20190624_154622.jpg
 
Nimekuelewa sana, poleni sana mlioharibu mitaji yenu! Nilitamani kuingia hii biashara kupitia vinyonga wa Lushoto wenye horn! Niliwapenda sana wale.

Exposures kwa viongozi wetu ni muhimu jamani, huu ujima sasa ni too much!!
Yaani ni Aibu, mtu akishaona mshahara unaingia mwisho wa mwezi na perdiem anaona dunia amemaliza, nikubana tu wafanyabiashara .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, duniani kuna fursa nyingi sana aise, nlikuwa sijui kama kuna biashara hii ya viumbe hai...sasa serikali nayo ikibana kila sehemu ambayo wananchi wake wanaitumia kujikwamua kiuchumi, wanategemea wafanyeje sasa?
 
Back
Top Bottom