cha kufanya mkuu wewe nunua hvyo vitenge vyako toka kigoma kisha anza kuvisupply hiyo mikoa uliyoitaja
hakuna cha ujuzi wowote hapo maana sijakuelewa unataka ujuzi wa nini kwenye biashara kma hiyo
cha kufanya mkuu wewe nunua hvyo vitenge vyako toka kigoma kisha anza kuvisupply hiyo mikoa uliyoitaja
hakuna cha ujuzi wowote hapo maana sijakuelewa unataka ujuzi wa nini kwenye biashara kma hiyo
Ingawa swali sio langu lakini nadhani ujuzi / ufahamu una-involve yafuatayo:-
Changamoto za hii biashara ni zipi ?
Mizigo mizuri inanunuliwa wapi ?
Aina gani zinapendwa ?
Ufahamu wa Genuine na Fake
Aina zinazopendwa
Bei n.k.
Ninachojaribu kusema hakuna kitu ambacho hakina ujuzi (Secrets of the Trade) AKA Siri ya Mtungi... Ndio maana wewe unaweza kufanya kile kile kama mwingine na wewe usipate kitu wakati unaona mwenzako anachekelea.