Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.
Nafikiri biashara yoyote ina wateja wake na inakulipa ukiwa mbunifu na mwenye bidii hapo kazini.Sifahamu vizuri mahitaji ya kutengeneza hivyo vitafunwa ila ukitafuta taarifa mtandaoni utapata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.