Biashara ya vimondo.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Mawe ya vimondo ni ni gharama sana. Bei ya kawaida unakuta ni $50 kwa gram moja. Hapo kilo inakuwa $50,000, bei kuliko dhahabu. Soko kubwa lipo Morocco ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali huenda kununua. Ni rahisi sana kupata vimondo jangwani kuliko sehemu zingine.
Kimondo cha Mbozi ,Songwe kuna uzito wa taani 16, ni cha nane kwa uzito duniani. Hivi kwanini wasikipeleke makumbusho ya taifa?

Kimondo cha Hoba kipo Namibia, ndiyo kikubwa zaidi duniani, kina tani 60.

Sasa makumbusho ya taifa kiende kufanya nini si bora tu wakipeleke Morocco.
 
asante kw taarifa japo hoja zako zimetawanyika kdgo,yaan kimondo kina thamani na soko lake unajua linakopatikana halaf unashauri kipelekwe makumbusho,ili kikaongezewe thamani au kikafanye nn huko,kwann usishauri kipelekwe morocco sokoni???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…