Hekima ni Mwalimu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2015 Posts 232 Reaction score 429 Jul 26, 2026 #1 Jamani aliye na uzoefu wa hii biashara anipe maarifa zaidi Nina mpango wa kuanza & Inatakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi ili nifanye kwa ubora zaidi ? & Profit yake uwa inakuaje kwa anaye hijua jamani please msaada?
Jamani aliye na uzoefu wa hii biashara anipe maarifa zaidi Nina mpango wa kuanza & Inatakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi ili nifanye kwa ubora zaidi ? & Profit yake uwa inakuaje kwa anaye hijua jamani please msaada?