NaelewaNgoja niweke kambi hapa afu tuone.
Kumbe akitokea dalali mwenye mtaji akanunua kwa cash anapata wauzaji wengi. Sijui kama changamoto atapata nyingi mpaka kumzuia asipate faida.Ukienda kufata iwe uyole sijui njombe.
Wasikubamize kwenye viazi kuna vingine cherema haviivi na havina soko.
Mbegu bora ni tigo halafu Obama na cp.
Nakushauri kafate mwenyewe shamba.
Ulete uuze na dalali sokoni(hapa hakuna cash cash tegemea hela baada ya siku 1,2 au 3)
Kwa hiyo hela nunua tu viazi na gharama zake kama magunia ushuru kamba upakiaji na ushushaji dar kuhusu gari tafuta za watu wengine wakupakilie mtalipana kwa gunia maana wewe mwenyewe huwezi kukodi gari yako kwa hela hiyo.
Bei ya soko kwa sasa ni 58,000 mpaka 65,000.
Bei ya shambani siijui.
Ukiwa serious zaidi kuna namba ya mkulima wa viazi ninayo nitakupa akusaidie kujua kuhusu huko shamba.
Sijakuelewa.She huyo aliyeitwa,, tumechoka kuitwa makapuku
Hivi nani alikuambia dalali ana mtaji?Kumbe akitokea dalali mwenye mtaji akanunua kwa cash anapata wauzaji wengi. Sijui kama changamoto atapata nyingi mpaka kumzuia asipate faida.
Je naweza kuchukua gunia ngapi kuleta jijini baada ya Makati yote ikiwemo usafiri? Mil 1.2Kumbe akitokea dalali mwenye mtaji akanunua kwa cash anapata wauzaji wengi. Sijui kama changamoto atapata nyingi mpaka kumzuia asipate faida.
Ha ha, nimemaanisha aje huyo fundi atuelekeze Mimi na wanangu wengine tutoboe kimaisha mkuu,, tusiitwe makapuku tenaSijakuelewa.
Kuitwa wewe kapuku na niliyoandika vinahusiana vipi? Huyo niliyekuitia ni master wa hiyo biashara ujue.
Ndo maana Niko hapa kuendelea kupata elimu,, kwa komenti yako ndipo kwa Mara ya kwanza nagundua madalali hawana helaHivi nani alikuambia dalali ana mtaji?
Wale madalali wa sokoni wanakujaga hawana sh mia mfukoni.
Hakuna dalali mwenye mtaji sokoni.
Wao wana maneno na dago tu kama mtaji wao na ukizubaa lazima akulize.
Kuhusu faida ipo hamna hamna hawezi kosa 3,000 mpaka 8,000 kwa gunia.
Nani alikuambia hawana hela?Ndo maana Niko hapa kuendelea kupata elimu,, kwa komenti yako ndipo kwa Mara ya kwanza nagundua madalali hawana hela
Sawasawa br.Nani alikuambia hawana hela?
Nimesema wanakujaga sh mia mfukoni hawana.
Wanategemea viazi vyako viwaletee hela h
Na mara nyingi wao ndo wanafaidika kuliko wewe mwenye mzigo au mkulima.
Dalali hawezi kuingia risk ya kutoa pesa yake akasafiri kwenda shamba na kuleta mzigo.
Atakusubiri sokoni umpelekee mzigo apige kazi.
Kirahisi kabisa.
Kukodi tu gari kutoka mbeya mpka dar si chini ya 1.5m hapo bado ushuru, mzigo, upakiajiJe naweza kuchukua gunia ngapi kuleta jijini baada ya Makati yote ikiwemo usafiri? Mil 1.2
Akitokea mtu smart hii fursa inawezekana. Akinunua kwa cash ananunua kwa bei punguzo maana wakulima hawatotaka risk ya kumwachia dalali wa kulipa baadae. Anachofanya huyu mnunuzi smart ni kuwa na hifadhi. Anakuwa dalali na msambazaji, ni kama retailer au market maker. Sema huo mtaji wake ni mrefu.Hivi nani alikuambia dalali ana mtaji?
Wale madalali wa sokoni wanakujaga hawana sh mia mfukoni.
Hakuna dalali mwenye mtaji sokoni.
Wao wana maneno na dago tu kama mtaji wao na ukizubaa lazima akulize.
Kuhusu faida ipo hamna hamna hawezi kosa 3,000 mpaka 8,000 kwa gunia.
Mkuu mi mjingamjinga tu wala sijui chochote kwenye masoko. Mwenyewe nasoma tu hapa. Labda jaribu kutafuta nyuzi kama huu kisha saka watu waliotoa mchango, tag hapa au wafate wakuelekeze. Epuka matapeli.Je naweza kuchukua gunia ngapi kuleta jijini baada ya Makati yote ikiwemo usafiri? Mil 1.2
Ila madalali Ni noma saana. I wish niwe dalali. Unapiga hela bila kuwa na Mia mfukoni? AmazingNani alikuambia hawana hela?
Nimesema wanakujaga sh mia mfukoni hawana.
Wanategemea viazi vyako viwaletee hela h
Na mara nyingi wao ndo wanafaidika kuliko wewe mwenye mzigo au mkulima.
Dalali hawezi kuingia risk ya kutoa pesa yake akasafiri kwenda shamba na kuleta mzigo.
Atakusubiri sokoni umpelekee mzigo apige kazi.
Kirahisi kabisa.