hello wananijamii habari zenu,okay miminimjasiliamali mdogo(nimejiajri)sasa nilikuwa naomba advice ama mawazo ni kwamba ninao mradi ama biashara ya kutengeneza viatu vya kisasa kabisa vya kiume na vya kike na vya watoto washule,ndio nimeanza na soko hapa dar es salaam nimeona inaweza kuuza ila soko ambalo nimelenga kabisa ni nje ya dar kwa maana ya mikoani,sasa kwa mwanajamii yeyote ambaye wanafahamu kuhusu hii biashara ama masoko yake yakonje na udhaifu ama ubora wake tafadhari anijulishe nawasilisha.