Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitosheleziiMsadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
Uko wapi mkuu?Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
Upo mkoa ganViatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii