Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Usikariri maisha mkuu Jokakuu, mikakati ya Bahamas sio ya ATCL. Tuwaamini watendaji wetu wazalendo. Tumekuwa tukiwakwaza sana katika mijadala kama hii ya JF...Visiwa vya Bahamas wanapokea watalii karibia mara 4 ya watalii wanaokuja Tanzania.
..Shirika la ndege la Bahamas limekuwa likipata hasara kwa miaka mingi. Majuzi walipata faida ya usd 500k.
..Hivyo ndivyo biashara ya usafiri wa anga ilivyo.