Tanzania wakati wa Hayati kulikuwa na biashara ya upinzani. Hizi biashara zimedoda sana na Tanzanite karibu wataomba mikopo
1. Vyombo vya habari kama Tanzanite
2. Usalama wa taifa kupiga deal za kununua vifaa vya kusikilizia watu kwa pesa ambazo sio za bajeti
3. Wanasiasa kama Sabaya na Makonda ambao walijitajirisha sana kwa kutishia watu
4. Viongozi wa chama ambao waliomba mabilioni ya kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani bila kuwa na bageti
5. Wafanyabiashara ambao walitumia mwanya huu kuweka mikakati ya mabilioni kwenye miradi ya chama kama TV, Viwanja vya CCM bila kukaguliwa vizuri
6. Makatibu wakuu wa idara nyeti kama Ikulu na hazina mambao walikuwa Mungu mtu