Nikutie moyo, mimi ni muajiriwa serikalini, Mshahara wangu kwa mwezi ni Tshs 2,800,000/=...Lakini naifanya hiyo biashara ya uji kwa mwezi napata Tshs 780,000/=. Gharama za uendeshaji ni Tshs 250,000/= kwa mwezi. Faida ya uji nayobakiwa nayo ni Tshs 530,000/=. Hivyo ada za watoto wangu Private school zinalipwa na hiyo biashara ya uji.
Pambana asikurudishe mtu nyuma