Biashara ya Uchawi Tanzania

Nkweli lakin mkae mkijua yakwamba sehemu yenye mkusanyiko wa watu na makabila mbalimbalu lazima kuwe na ushirikina I'll ninaamini Mimi na pia co rahisi MTU akuwangie pasipo kukufaham
 
Lindi ndo kiboko ya reli hao wengine unawasingia tu kamanda lindi kila nyumba kuna ndondocha mmoja ambayr wameshamloga watu wa huku wanaendekeza uchawi balaa ndo mana hawajaendelea ila mie nawapaga live tu
 
Exchange rate yake na TZS ni ngapi?
 
Naomba kuuliza nimesoma sana hadithi zinao husian na vampire. Hivi vampire nikweli wapo? Au ni hadidhi tuu. Pleas naomben jib
 
Naomba kuuliza nimesoma sana hadithi zinao husian na vampire. Hivi vampire nikweli wapo? Au ni hadidhi tuu. Pleas naomben jib

Vampire sio binadamu, Ni aina fulani hivi ya popo, popo hawa hunyonya damu ya wanyama mbali mbali. Fuatilia natgeo wild utaona.
 
Uchawi ndio sijajibiwa ni nini?
Hata hivyo hizo juhudi na maarifa inaweza kua ndio uchawi wenyewe.
Sijui unakusudiwa ugagula ndio hayo?
ikijulikana maana ya uchawi ni rahisi kueleweka!

Wewe ni mchawi nin? Maana mtu akiwa wa dizaini hiyo huwa hataki hata kusikia hilo neno mchawi! Atajibalaguza kama vile hajui hiyo issue!
 
Wewe ni mchawi nin? Maana mtu akiwa wa dizaini hiyo huwa hataki hata kusikia hilo neno mchawi! Atajibalaguza kama vile hajui hiyo issue!

Na ndo tabia za wachawi wengi hawapendi kuzungumzia kabisa uchawi au wanakana haupo.
 
IPO njia rahisi ya kuwasiliana NA hawamajini. kwa mtu asiye NA kiasili ya uarabuni?
 
nikitaka kwenda kusomea nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…