MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
huku mtaani kwetu watu wananong,ona kuwa marehemu Kanumba ametolewa kafara ya ki free masons na safari zake za marekani zinahusishwa na huko eti amekosea masharti, je inaweza kuwa kweli mkuu maji moto?
ZAZUNI Lango la kuzimu la Bagamoyo
Mji wa Bagamoyo ni mji wa kizamani uliokaliwa na Waarabu, na maendeleo yake yalikuwa duni sana hadi siku za hivi karibuni, wageni walipoanza kuingia na kuwekeza katika mji huo.
Lango la kuzimu la Zazuni liko ufukweni mwa bahari ya Hindi, likihudumiwa na majini kumi na mawili.
8. Rabdi ni jini linalotumwa kwa Waislamu peke yake, kwa ajili ya kufanya fujo.
Nafasi ya mafanikio aliyofikia alifikiri anaweza kusimama peke yake, Upande wa Mungu alikuwa dhaifu sana, upande wa shetani alikuwa juu, ndiyo maana usiku wa manane alikuwa na kabinti cha miaka 17, kama alitembea nacho ni sawasawa na kosa la kubaka, na ni kosa lenye adhabu kwa sheria za Tanzania, mbaya zaidi uhusiano wake na mzazi wake wa kiume ulikuwa siyo mzuri.
Hizi ni sababu tosha kwa wabaya wake kumchukua kimazingara na kuanza kumtumia yeye na nyota yake kuendeleza vipaji vyao.
...Mkuu, so inamaana SK atakuwa ameondonka kwa mfumo ule wa Gamboshi?.. Na kama ndivyo, vp viongozi wetu, hasa wale walio wanachama wa Freem. Watakuwa wanaijua deal?.. Au je mazishi yake na ushiriki wa bega kwa bega wa serikali yetu, italuwa ni sehemu ya kutimiza wajibu wao toka Freem.?... Au vipi taratibu za hawa jamaa pindi unapokosea
Msingi mkuu wa shughuli za uchawi ni usiri, wachawi ni wasiri sana, sana. Mkeo au mumeo anaweza kuwa mchawi lakini mwenza wake katika ndoa asijue kabisa, na wakaishi wakawa wazee bila ya kujuana. Wachawi wanauwezo wa kujigeuza maumbo na kuvaa maumbo ya wanyama au ndege wakiwanga ili wasijulikane, pia wanayo mapazia ya kichawi ambayo huvaa wasionekane wakiwa kwenye vikao vyao vya kichawi.
Wachawi watoto, sasa hivi ni wengi kweli kweli kwenye fani hii hasa kuanzia miaka kumi (10). Wazazi hasa wa Dar es Salaam, siyo ajabu mwanao ni mchawi bila ya wazazi kujua kwani shughuli hii hutawaliwa na usiri wa hali ya juu.
Adhabu ya mchawi anayetoa siri za wachawi wenzake adhabu yake ni kifo, wanamuua kabisa, damu na nyama yake huandaliwa karamu inayoshirikisha wachawi wote.
Juzi juzi town jamaa alitinga bank na gari moja hatari akiwa na suti matata miwani mikubwa na mkoba wa kuninginiza mkononi!kimtindo anaonesha ni mwenyefweza za kutosha....
wakati anashuka jamaa wa kubrushi viatu pembeni akaanza kutoa sifa da wana mmemuona boss maisha ndio hayo watu wanakula gud time bana wee acha tuu....anawadca watu wa vijiweni walioketi pamoja...jamaa kaingia bank aliipotoka akamfata akamwambia we unaona me napata raha sana si?
Fundi viatu oo we mwenyewe huoni bana kwani mm sitamani kuwa na gari kama lko kuvaa suti nzuri nami nionekane nazimu ka wewe?
Jamaa amuuliza swali unalitaka gari hili? Basi vaa miwani hii japo kidogo tu! Akavua akampatia!
Jamaa kuvaa akaanza kupiga kelele....
Bosi likachukua miwa akaingia kwenye gari nduki!jamaa mikelele mpaka jamaa anapotetea ndio anaanza kuadisia eti lile sio gari bari nijeneza lenye matairi alafu watu wote alikua anatuona mafuvu matupu...
Nikamuacha wamemjalia hapo me nikawai hotuba ya raisi kutangaza baradha la katiba mpya...coz nlijua tuu nini kinaendelea.
hali yako mkuu, me naulza vp kuhusu pete? make naona watu weng cku hz wanavaa pete kubwa kubwa ukiachilia mbali pete za ndôa.mf. hta wakuu wa nchi na watu wenye pesa au hadh flan wana mapete makubwa kwny mkono wa kulia wanadai kuwa ni urembo. je kuna zaidi ya hlo?
Ndugu yangu majimoto, naomba unisaidie kukutana na mmoja kati ya hao wachawi nimweleze jambo, nipe hata namba za simu kama unazo nifanye utafiti. katika kila mkoa ulioutaja nipatie Mchawi mmoja tu.
Then nikiongea naye nitaleta ripoti hapa hapa kwa wana jamii, au wewe umpigie umuulize yule jamaa kakwambia nini.
I am serious Please
Sitaki mwanga wala mwaguzi, I mean MCHAWI AMBAYE NI SUGU KAZINI
Wewe umekosea..MAINI siyo 3,000,maini ni 5500.Steki ndio 3000.