Siku hz internet sio Sana ! Watu wanatumia smart kuperuz internent!Huduma ya Internet cafe
Hii ni risky aisee. Wakija watu wa manispaa watataka kuiona leseni uliyokata ilikuruhusu kufanya biashara gani. Unaweza ukala fine ya bure jombaaHuduma ya stationery unaweza kwenda pamoja na baadhi ya bidhaa za duka la kawaida! Maana wateja wake wanafanana!
Hapo weka sukari, majani ya chai, body sprays, pampas, sabuni aina zote, etc
Ahaa ili uchanganye leseni yake inatakiwa kuwaje?Hii ni risky aisee. Wakija watu wa manispaa watataka kuiona leseni uliyokata ilikuruhusu kufanya biashara gani. Unaweza ukala fine ya bure jombaa
Hapo unatakiwa uwe una leseni 2... ya biashara ya stationery na ya bidhaa za chakulaAhaa ili uchanganye leseni yake inatakiwa kuwaje?
Duh! Sasa hapo Kodi si itakuwa kubwa Sana! Màana na TRA nako itabidi uwe na Kodi mbili, kwani haiwezekani ukaita mixed shop ili uwe na leseni moja?Hapo unatakiwa uwe una leseni 2... ya biashara ya stationery na ya bidhaa za chakula
Ili Kupata leseni inatakiwa uSpecify ni biashara gani unataka kufungua. Watoa leseni wanataka wapate tozo yao ktk kila kitu. Ili kuepuka usumbufu ni bora ukate leseni ya duka na leseni ya stationery na if eneo lina nafasi nzuri basi unaweka mpangilio mzuri cos ninavyojua mimi ukiomba leseni ya biashara ya bidhaa za chakula pia kuna issue ya afisa afya wa kata kuja kufanya ukaguzi. Kimsingi kama uko maeneo ya mjini watakupata tu. .. kwenye ada za leseni na kodi ya TRA. Na wakikushtukia wenyewe kuna na fine juu!Duh! Sasa hapo Kodi si itakuwa kubwa Sana! Màana na TRA nako itabidi uwe na Kodi mbili, kwani haiwezekani ukaita mixed shop ili uwe na leseni moja?