Biashara ya Solar

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,648
12,257
Heshima kwenu wakuu,

Naomba kujua gharama za kuingiza mzigo hasa unaohusu vifaa vya solar na betri zake kutoka Urusi.(Estimation of tax) nini wanachokiangalia wakati wakitoza kodi?

Nina jamaa yangu anayemiliki kiwanda cha kuzalisha bidhaa hizo,hivyo nataka kuanza kuwa supply wake hapa Tanzania.

Na ni nia gani rahisi kusafirisha mzigo na kwa gharama nafuu?

Pia nakaribisha mtu yeyote mwenye mtaji wake tuweze kushirikiana na kuanza kufanya biashara hiyo kwa pamoja.

Nasubiri michango yenu yenye kujenga Tz mpya ya viwanda.
 
Back
Top Bottom