Shilling ya zamani ni moja tu yenye thamani na hupewa thamani na coin collector ambao wana museum za hela au sarafu za kila nchi. Wakisha ipata ya kwanza basi hawana shida tena na zile zinazofuata, kwa bahati mbaya habari hizo huenea katika jamii muda mrefu sana.
Siyo shilling za zamani tu inaweza ikawa nakala ya kwanza ya gazeti Fulani, kitabu Fulani cha siku za nyuma sana,baskeli za zamani, taa za zamani mfano aladin n.k