APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
freezer bado sijanunua,nilitaka kujua kwanza soko lakeUna freezer?!
Friza la nn mkuu na samaki wamekaangwa?Una freezer?!
Bei ya samaki ina badilika wiki hadi wiki, ni vyema ukatembelea soko la feri kujuzwa zaidiHABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
kivipi mkuuQualiter nipo hapa Nikuepushie wakaguzi
kisafirisha samaki sio rahisi kama unabo dhan. samaki ni high perishable food so kunaitaji uaandaaji na kusafirisha kwa njia sahihi ili kiwe bora kwa matumiz ya binadamukivipi mkuu
Vp kuhusu kambale walio kaushwa huko Arusha huwa wanasoko?nilishawahi kutoa samaki kutoka mwanza kwenda arusha wakiwa wamekaangwa kwa boksi
wanasoko ila wapo wengiVp kuhusu kambale walio kaushwa huko Arusha huwa wanasoko?
Sidhani kama samaki wa maji chumvi kwa Arusha utatoboa ni ngumu ngumu sana, fanya tena utafiti wakoHABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
Njoo uwe unachukulia samaki tanga, nitakua nakuuzia 7500 tsh kwa kilo.HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
Wale kambale wakubwa huwa wanauza shngap huko Arusha?wanasoko ila wapo wengi