Jane Lowassa JF-Expert Member May 10, 2016 4,899 8,895 Jun 19, 2016 #1 Ipi ina faida kuliko nyingine kati ya biashara ya kumiliki radio station na biashara ya kuchapa magazeti
Ipi ina faida kuliko nyingine kati ya biashara ya kumiliki radio station na biashara ya kuchapa magazeti
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Jun 20, 2016 #3 Ukiwa na 'walopokaji' wazuri, biashara ya redio inalipa...
A Al-shabaab JF-Expert Member Aug 24, 2013 1,791 619 Jun 20, 2016 #4 I hope tadio inalipa vzr maana now site mbalimbali zinapunguza mauzo ya magazeti hii ni kwa mtazamo wangu
I hope tadio inalipa vzr maana now site mbalimbali zinapunguza mauzo ya magazeti hii ni kwa mtazamo wangu