Biashara ya poles | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya poles

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by len, Aug 8, 2011.

 1. l

  len Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wana JF naomba wenye uzoefu na biashara ya poles kutoka Iringa wanijuze. Napenda hasa kujua soko lake hapa Dar likoje na kama kuna iwezekano wa kuuza mzigo kwa jumla. Ni maeneo yapi yanafaa kwa biashara hiyo, gharama za kukodi eneo, bei za jumla na rejareja. Kuna mtu kutoka Iringa anahitaji kuleta poles za 4 inchis lakini hana soko la uhakika. Asanteni kwa michango yenu
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mwenge kuna soko kubwa la Poles,nenda pale Efatha ministries,kwa mbele kuna yard kubwa sana ya hii biashara
   
 3. l

  len Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Asante mkuu, niwafuatilia.
   
Loading...