Biashara ya Pharmacy na Challenge zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Pharmacy na Challenge zake

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nesindiso Sir, Apr 24, 2012.

 1. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimetumbukiza mguu kwenye hii biashara ya Pharmacy. Nimeanza kuonja joto ya jiwe, hasa kwenye upatikanaji wa pharmacists na ushindani wa maduka ya dawa baridi ambayo hayana vibali lakini mengi yanauza dawa aina zote.

  Naomba msaada kwa wenye uzoefu, pharmacists, nawapataje na kwa bei gani kwa sasa?
  Je, kuna umoja wowote wa wenye biashara za pharmacy?

  Na challenge nyinginezo ambazo bado nitaendelea kukumbana nazo naomba mnijuze.
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ulitakiwa kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kufungua, faida na hasara ikiwa ni pamoja na hizo changamoto. Pole na jitahidi utafaulu tu sina ninachojua ndugu.
   
 3. I

  Incredible JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 937
  Likes Received: 963
  Trophy Points: 180
  kila biashara ina changamoto zake. Kinachotakiwa ni kwamba usiiache bali ujifunze zaidi namna ya kuiboresha. Nikiwa kama mjasiliamali mwenzio naweza kuwa na machache ya kukushauri, nitumie email faoincredible@yahoo.com tuweze badilishana mawazo.
   
Loading...