BIASHARA YA ORYX GAS

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,614
8,617
Ninafanya biashara ya gas na vifaa vyake jijini MWANZA.nina changamoto ya kua na mitungi midogo ya kg 6. Kama kuna mtu anayo, ameacha kuendelea na biashara kwa namna moja au nyingine aniuzie hyo mitungi midogo,bei yangu ni Tsh 15000/= kwa kila mtungi,nahitaji mitungi 100.mwenye nayo aje pm kwa namba simu tuwasiliane.kumbuka ni Oryx gas
 
Back
Top Bottom