Biashara ya Organo Gold

Biashara ya Organo Gold

mihadarati

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
268
Reaction score
74
ImageUploadedByJamiiForums1416746599.305166.jpg

Wadau habari za Jumapili;

Leo nimeingia jiji la Arusha nikitokea Dar nikakutana na rafiki yangu ambaye tulisoma nae chuo akaniambia anataka anishirikishe jambo kuhusu biashara ya mtandao kampuni inayoitwa Organo..

Na mimi kwa sababu sijafanya utafiti juu ya hiyo biashara kwa ujumla kwani bado n changa, nikasema niwashirishe wadau humu jamvin huenda kuna ambao tayari wameshajiunga.

biashara yenyewe ni ya mtandao kampuni inaitwa Organo Gold ambayo kidogo ingefanana na ile ya Forever living sema tofauti kwamba wao Organo wanadeal na kinywaji cha kahawa pekee na wanaproduce kahawa zenye taste mbalimbali zilizoongezwa virutubisho kama uyoga Mwekundu, na unalipa hela ya kuingia ambyao kuna madaraja tofauti, baada ya hapo utapata idadi ya kahawa kulingana na daraja uliloingilia..mim nataka kupata uzoefu kwenu kama kuna ambaye amekwishifanya hiyo biashara humu..

Ahsanteni
 
Weka anuani zao, ambao watapenda watajumuika na wewe ktk sales/promotion ni hilo tu,
Maana umesema wapo ktk e-commerce
 
hata mim nipo kwenye mchakato wa kujiunga kwenye net-working yao kuwa distributer ila cna udhoefu sana naomba wakongwe au wameshajiunga watuambie zaidi..
 
Hawana tofauti na forever living na GNLD. Kule marekani wameshaichoka haina jipya.
 
Back
Top Bottom