Biashara ya Online Shopping Mall

Feb 12, 2020
66
84
Habar za uzima wana JF,
Naomba kwa mwenye elimu au uelewa juu ya biashara hii ya kufungua online shopping mall ndani ya Tz naomba anipe maelekezo hapa .

Mfano wa Online Shopping mall
Kikuu,Jiji,Ali baba,Amazon n.k
 
Maelezo hayatoshelezi unataka kuwa na mall, au kununua toka mall jumla na kuuza rejareja, unataka kulipwa kwa kila mteja unayempeleka mall, kipi wataka fanya?
 
Leta milioni 40 nakutengenezea online shopping mall clone ya Amazon kabisa
 
Broh mm nataka taratibu tu but kutengeneza App mm mwenyewe naweza fresh kabisa
Nina bachelor ya Computer Eng ( DIT)
Mkuu shida siyo kutengeneza App, issue inakuja kwenye BRANDING, MARKETING na OPERATIONS. Na kingine ni namna ya ku WIN TRUSTS za wabongo ili waweze kufanya manunuzi Online.

Jumia, Zoom Tanzania wote walisanda, wakafunga biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom