Mjomba Nchumari
Member
- Jul 30, 2022
- 17
- 19
Mimi ni Journalist mzee, nimefanya miaka 5 as Social media manager ... cha kufahamu ni kwamba kupost news ni professional ..hahaha social media haisomewi😂
kumbe taarifa za habari.... hapo sawa nimekupataMimi ni Journalist mzee, nimefanya miaka 5 as Social media manager ... cha kufahamu ni kwamba kupost news ni professional ..
Kumbe we unajua YouTube ni ya bure tu?, sawa lakini fahamu kuwa mimi nimefanya hizo kazi nina uzoefu ... sehemu niliyofanyia kazi iilikuw inaingiza hadi milioni 5 kwa mwezi kupitia YouTube !!!Pambana ndugu yangu...ila kiukweli YouTube hii hii ya bure kukulipa ni ngumu sana...nyuma ya YouTube Kuna YouTube nyingine...kupitia hiyo YouTube nyingine unaweza kupata pesa...ila kikubwa online channel nyingi Huwa ni kwaajili ya matangazo ya wafanya biashara let's say MO... Afungue online channel hapo hiyo channel haitomuingizia kitu Zaidi ya kupush biashara zake zizidi kufahamika... Platform za online ukiweka malengo kuwa zikuingizie pesa utakwama...tengeneza biashara Kisha tumia hizo platforms kutangazia biashara zako... Hapa Tz hakuna anae ingiza pesa eti Kwa kuapload video YouTube na YouTube wamlipe...hao YouTube wenyewe wanataka pesa
Ya kuanzia kusimamisha brand !! ...Milioni 6 gharama zoote?
Hebu weka gharama ya kila kifaaYa kuanzia kusimamisha brand !! ...
Asante Mkuu !! ... Naelewa suala la uaminifu muhimu ... ila mimi najua ninachokifanya na malengo niliyonayoNafurahi sana kuona Habari kama hizi kwa watu kujituma hivi
Naona Ayo mwingine hapa
I wish ningekusaidia mkuu ila tatizo sipo huko na sikujui
Kwa 6m sio nyingi ila kujuana ndio mtihani kwa hiyo I'm out
Ila nakuombe mafanikio
Sawa mkuuAsante Mkuu !! ... Naelewa suala la uaminifu muhimu ... ila mimi najua ninachokifanya na malengo niliyonayo
NasubiriHebu weka gharama ya kila kifaa
Hadi kufikia hiyo milioni 6
Usajili TCRA - Haipungui 1mHebu weka gharama ya kila kifaa
Hadi kufikia hiyo milioni 6
Tcra washapunguza usajili...haizidi elfu 50Usajili TCRA - Haipungui 1m
Kamera mpya - 1.5m - 2m
Laptop mpya - Laki 6 - laki 7
Recording kit (audio) - Laki 5
Vifaa vingine kama wireless Mike, flag mike, flash au External na camera stand - Laki 5.
Gharama za uendeshaji ( Internet router na Internet yenyewe n.k
Piga hesabu !!
Ok ... its good !!!Tcra washapunguza usajili...haizidi elfu 50
Utaanzia kazi home amaUsajili TCRA - Haipungui 1m
Kamera mpya - 1.5m - 2m
Laptop mpya - Laki 6 - laki 7
Recording kit (audio) - Laki 5
Vifaa vingine kama wireless Mike, flag mike, flash au External na camera stand - Laki 5.
Gharama za uendeshaji ( Internet router na Internet yenyewe n.k
Piga hesabu !!
NdiyoUtaanzia kazi home ama