kamugishacharles
New Member
- May 3, 2016
- 2
- 1
Ndugu wapendwa naomba kupata ushauri wa namna ya kupata masoko ya kuuza nyanya hasa katika kipindi ambacho kwa sasa nyanya zimefurika sokoni.Natarajia kuanza kuuza wiki moja ijayo. Je utaratibu mzuri ni upi? kuuza kwa kiloa au ndoo au tenga.