Papillon007
New Member
- May 29, 2025
- 2
- 3
Guys, habari, ni mgeni kwenye hii familia nimejiunga JamiiForums baada ya kuwa nasoma ideas zenye mantiki bila kuwasilisha mine,
Quick discussion, Nina million 4 nataka nianzishe biashara ya kuuza nguo za kikee (kwenye frame)
Naomba kujua changamoto na how to start maana Sina hata uhakika kama ntatoboa, na kama inatosha