Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 485
- 580
Habarini za kazi wapendwa wote.
Kikubwa zaidi kilichonifanya niandike Uzi huu ni kuuliza kuhusiana na biashara ya nguo za mitumba (second handed clothes) kutoka nje ya nchi .
Ya kwamba utaratibu upoje na gharama za kuagiza hizo nguo inaweza ku cost kiasi gani , maana Huwa naonaga nguo zikifunguliwa kwenye Yale ma Belo.
Hivo mwenye kujua mchakato mzima mpaka mzigo unakuja bongo ikiwemo machimbo Yao au website zao anijulishe nimejikita Zaid kwa mda huu kufanya hii biashara
Asanteni wanajamvi nakarbisha ushauri