Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 919
- 1,101
Nipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwelHuwezi kuzuia labda mikakati ya kupunguza.
Mfn mie dk 3 zilizopita nimetoka Telegram huko kujionea ya walimwengu.
Nafkiri mtandao unaoongoza kuwa na Porn nyingi ni Telegram. Ukimuona mtu telegram hakauki ujue ni MWAMBA huyo.
Mwambie mpaka viongozi wa dini wanajipiga picha na video. Gwajima.Umeshasahau tu kwamba hata watu waliopo serikali I( mawaziri na wabunge) nao pia Ni watumiaji wazuri wa video za ngono na picha za utupu.
Kenya Kuna mbunge mmoja aliwahi kustukiwa akiangalia video ya ngono wakati mjadala unaendelea bungeni.
Mkuu unaomba dhambi?Nipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwel
Mkuu siyo mtego kweli huu kwamba aseme anamjua halafu umwambie akuunganishe nae ili uthibitishe kama ni kweli?Wee nae Ruksa ya kusambaza picha za Watu bila ridhaa yao umepata wapi?
Uyo uliyeweka Picha yake Apo kwny uzi unamjua au umejipostia TU ili mradi?
Waafrika bwana...baadala ya kuumiza vichwa kwenye mambo ya msingi wanashindana na nature ya binadamuUmeshasahau tu kwamba hata watu waliopo serikali I( mawaziri na wabunge) nao pia Ni watumiaji wazuri wa video za ngono na picha za utupu.
Kenya Kuna mbunge mmoja aliwahi kustukiwa akiangalia video ya ngono wakati mjadala unaendelea bungeni.
Sio kweliUnatakiwa wewe ndiyo uanze kujidhibiti kwa kutofuatilia habari hizo.Serikali haitoweza kukufanyia kila kitu.
vpn haiwezi zuiwaNgumu kumzuia mwanadamu akitaka lake. Pindi Magufuli alipofunga internet watu waliambizana kuwa watumie VPN na wakaendelea kupata taarifa kama kawaida. Sasa hivi ukisearch google huwezi kuingia katika website za Ngono ila ukitumia VPN una access kama kawaida.
Hata huko china na Korea kaskazini wanazuia matumizi ya baadhi ya mitandao ila bado raia wao wanatumia VPN
Gwajima kiongozi wa dini gani?Mwambie mpaka viongozi wa dini wanajipiga picha na video. Gwajima.
Kwani ni dada ako? AuWee nae Ruksa ya kusambaza picha za Watu bila ridhaa yao umepata wapi?
Uyo uliyeweka Picha yake Apo kwny uzi unamjua au umejipostia TU ili mradi?
Nature ya mwanadamu ni ngono... sio kweli hii imekuwa to muchWaafrika bwana...baadala ya kuumiza vichwa kwenye mambo ya msingi wanashindana na nature ya binadamu
Sasa wee unadhani starehe kuu ya mwanadamu ni nini kama sio ngonoNature ya mwanadamu ni ngono... sio kweli hii imekuwa to much