crecknerz
Member
- May 7, 2014
- 88
- 12
Niko Zanzibar ambapo Ngo'mbe wa kilo 200 anauzwa laki 7.
Ngombe huyo wanapatikana Mwanza Magu au Dodoma Kigwe kwa laki moja au laki, na 30 nyasi za kula na mswagaji mpaka Dar kwa Ng'ombe 50 ni laki mbili na kibali kila Ngombe ni elfu moja. Kukodi gari (semi-trailer) kutokea Mwanza to.Dar ni milion moja na laki4.
Kutoka Dar kwa jahazi mpaka zanzibar kila ngombe ni elfu 20. Wakifika Zanzibar kila Ngo'mbe kwa jumla tunauza laki6..na Zanzibar nina eneo.kubwa lakuwafikisha Ngo'mbe hao na pia kwa idadi ya Ng'ombe 50 namaliza kuuza kwa siku moja. So ni full business plan but sina capital ila na connection nzima.
Nitafute 0716121313 na kama unayo deal ya nguruwe pia safi.
Mungu atujazie wepesi.