Biashara ya ndizi

Inategemea na ndizi za aina gani unataka
Nakzia kama analima kibiashara acheki soko la ndizi lipoje na ni aina ipi inanunuliwa zaidi asije ula wa chuya

Nikiona mgomba hata km na shida zinapoa kwa muda sjui kwann πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…