Biashara ya nafaka au mkaa: Ushauri tafadhili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya nafaka au mkaa: Ushauri tafadhili

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sawabho, Jan 27, 2012.

 1. s

  sawabho JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Wakuu heshima yenu,

  Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza nafaka ua mkaa, lakini baada ya kutafakari kwa kina nikaona kuwa kwa kuwa natarajia kuweka mtu wa kuuza wakati mimi nikihangaika na mambo mengine, biashara ya mkaa itakuwa mwafaka kwa sababu ni rahisi kuhesabu gunia zilizonunuliwa, hivyo, kupunguza uwezekano wa udanganyifu kuliko nafaka ambazo wakati mwingine itamlazimu kuuza reja reja kwa kupima kwa kilo, hivyo kuwepo na uwezekano mkubwa wa udanganyifu. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Naomba mwenye uzoefu na biashara ya mkaa anishirikishe uzoefu wake [/FONT][FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] inalipa. [/FONT]
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Uza Mkaa
   
 3. K

  KEEM New Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ulikua kichwani kwangu ndugu.. pia nina shida kama yako ila mie nabase sana kwenye biashara ya kuuza nafaka.. kama kuna mtu mwenye uzoefu wa hizo biashara atusaidie.. much thank to y'all..
   
Loading...