jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,541
Hii mbinu kuna mwamba alinifundisha mwaka 2018 kule mbingu morogoroNgoja tupeane uzoefu kidogo.
2015 - 2017 niliwahi kujihusisha na kilimo cha Mpunga huko Mkoani Morogoro, Wilaya ya Mlimba, Kijiji cha Ngalimila na kupata kuishuhudia biashara hii pasipo kusikia.
Mahitaji
1. Viroba
2. Ndoo za kupimia mpunga
3. Mahali pa kuhifadhia mpunga (godown)
4. Vibarua wa kukununulia mpunga wenye utaalam wa kutosha kuweza kung’amua mpunga mzuri.
5. Mahali pa kuhifadhia mpunga (sehemu unayokusanyia mpunga)
6. Usafiri kusafirisha mpunga kupeleka godown
7. Vituo vya kukusanyia mpunga. Lazima uwe na kituo zaidi ya kimoja kuongeza nafasi ya kukusanya mzigo kwa wakati na kupunguza ushindani kwa wenzako wanaofanya biashara hiyo.
8. Fedha za kuwalipa wanunuzi kwa kila kituo ulichoweka.
Changamoto
1. Kupata mtu muaminifu wa kusimamia upatikanaji wa vijana wa kufanya kazi hiyo kwa idadi ya vituo utakavyoweka kukusanya mpunga.
2. Uaminifu wa wanaokununulia mpunga kukataa mpunga usio mzuri (Mind u that utawalipa kwa idadi ya gunia wanazokusanya so mwingine anaweza asiwe muaminifu ili apate malipo mazuri)
Ushauri
Vema kwenda mashine kusubiri wakulima wanaokuja kukoboa mpunga wao na kupatana nao bei na kukuuzia mchele, still bei yao ipo chini na gharama zitatofautiana kidogo sana na za wewe kwenda huko vijijini kukusanya mpunga.
Huko vijijini unaweza kusumbuka zaidi na mchakato mzima na mwisho wa siku ukapigwa na kitu kizito kichwani ukajikuta umenunua mpunga halafu ukikoboa unakutana na chenga kumbe mpunga ulikauka sana shambani.
Hii mbinu kuna mwamba alinifundisha mwaka 2018 kule mbingu morogoro
Kiukweli sikuwa na mtaji ndugu nakumbuka nilichukua gunia 3 tu .... kati ya hizo moja nilipeleka kwangu kwa matumizi zilizo baki niliuza ..... ila nlijifunza kama una taka kupata mchele mzuri unaenda pale mashineni una tega kwa pale .... sema wakulima wanajuana na wanunuzi inabidi uwe na mwenyeji ......Vip ulijalbu kuifanya Na ww ndugu
Kiukweli sikuwa na mtaji ndugu nakumbuka nilichukua gunia 3 tu .... kati ya hizo moja nilipeleka kwangu kwa matumizi zilizo baki niliuza ..... ila nlijifunza kama una taka kupata mchele mzuri unaenda pale mashineni una tega kwa pale .... sema wakulima wanajuana na wanunuzi inabidi uwe na mwenyeji ......
Tunaomba feedback mkuu,tupate uzoefuOky sawa sawa ... mwanzo mgum bt I wll and ntaleta feedback hapaaa
Kiongozi samahani naitaji mawasiliano na weweN kwel kakaaa nahitaj kwa upande wa Morogoro ndugu
KAZI ni kipimo cha utu
Upo sahihi mkuu,huku kwetu walionunua mpunga Mwaka Jana matumbo joto,walionunua Kwa 105000 na kutunza,Kwa Sasa bei ni 95000,Hali ni teteHiyo biashara kwa mgeni itakusumbua sana, kwani kununua mpunga kuna hitaji uzoefu wa kujua kilichomo ndani(mchele) ni mzuri?lasivyo utajikuta umenunua biliani tupu, ikawa bonge la hasara, kama utakuwa na mzoefu sawa!!kingine miaka ya siku hizi kununua mpunga na kuutunza store, haina tija kabisa, mfano unaununua kwa tsh.30, 000 wakati wa mavuno, unaweza ukauweka hata mwaka mzima ukakuta umepanda sana ni 45, 000!!!bado kuna gharama za store humo!!bora biashara ya mchele.
Upo sahihi mkuu,huku kwetu walionunua mpunga Mwaka Jana matumbo joto,walionunua Kwa 105000 na kutunza,Kwa Sasa bei ni 95000,Hali ni tete
Na kama hivi mvua zikipungua kwa sasa watu wakapanda fresh, msimu huu watu watalia balaa mavuno yatakuwa mengi mno!!Upo sahihi mkuu,huku kwetu walionunua mpunga Mwaka Jana matumbo joto,walionunua Kwa 105000 na kutunza,Kwa Sasa bei ni 95000,Hali ni tete
Na kama hivi mvua zikipungua kwa sasa watu wakapanda fresh, msimu huu watu watalia balaa mavuno yatakuwa mengi mno!!