Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 93
- 99
Ipo wapi hio wilaya..?Ukiskia bei ya Mpunga inashuka maana yake furaha ipo kwa Mfanyabiashara na ukiskia mpunga unapanda bei basi mkulima anakuwa ameupiga mwingi.
Navuta picha kwa hao wakulima wa shinyanga. Kwa sisi wakulima wa alizeti mwaka huu alizeti ni utajiri kwa wilaya ya wanging'ombe.
Kwahiyo mambo ni super.
Bei bado ipo ndogo, Morogoro kwenyewe inazidi tu kushuka. Saivi gunia la debe 10 ni 70k.Umeanza kupanda wafanyabiashara wamevamia hiyo mikoa bei imepaa ghafla tofauti na wiki 3 zilizopita, kwahiyo acha kudanganya umma
Asant sanaaNapenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!
Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!
Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!
Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
Napenda kuwasanua vijana na madini haya

Ilikuwa 30Bei bado ipo ndogo, Morogoro kwenyewe inazidi tu kushuka. Saivi gunia la debe 10 ni 70k.
Huku haikufika hukoIlikuwa 30
NjombeIpo wapi hio wilaya..?
Wanauzaje kwa kilo..?
Unasafirisha kwenda wapi? Acha ushamba biashara haiko hivyo.Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!
Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!
Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!
Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
hata huku inazidi kushuka japo imeshtuka kupanda beiBei bado ipo ndogo, Morogoro kwenyewe inazidi tu kushuka. Saivi gunia la debe 10 ni 70k.
Kapeace umepotea sanaUmeanza kupanda wafanyabiashara wamevamia hiyo mikoa bei imepaa ghafla tofauti na wiki 3 zilizopita, kwahiyo acha kudanganya umma
Huyu jamaa anatuona maponkino kabisa, yani hata utikise vipi gunia halifikishi kil
Kuna watu wanaelewa na wapo interested na wanafanya wewe kama hesabu hizo huzielewi tulia waache wanaoelewa wapo!Huyu jamaa anatuona maponkino kabisa, yani hata utikise vipi gunia halifikishi kilo 70