Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Habarini wana JF.
Mimi ni mkulima wa mihogo, nina shamba langu nimelima mihogo. Sasa natafuta wateja wa miogo. Hivyo kama kuna dalali yeyote aliye tayari, aweke namba yake hapa tuwasiliane. Shamba lipo bungu kijiji cha msoro, bei maelewano.
Tahadhari: Siuzi shamba nauza mihogo iliyopo shambani.