mrackkiramadhani
Member
- Apr 28, 2019
- 50
- 105
- Thread starter
-
- #21
Nauza imotion, samsung ,sandisk na ambazo brand yake si maarufu, mm mara nying naangalia functionality japo kweli brand ina matter lakin kumbuka ata fake zipo zinazotumia brand names zinazoaminika mtaan, najuu ya bei za 7000 kwa 32gb kwang ni kaona niekeze kuanzia 128gb kwan naelewa tatizo ni bei za 128gb kua ghari ndo maana mtaani unaona hazi trendy kwan unajua kua uchum wa mtu mmoja si rafiki mtu kutoa 28- 30 kwa ajili ya flash..Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
Sehemu gan kwa mbeya maana naweza kufika tukazungumzaKwa sasa nipo mbeya ila makazi yangu rasmi ni dar Gomsi, g/mboto
Unajua bei zake ni za wastaniHizi bei zimekaa kitapeli sana mi nipo kwenye hii biashara ila sijawahi nunulia hiyo bei labla kama unafuata china mwenyewe
Imotion waliharibu waliingiza copy nyingi yaani feki zilizagaa zakaharibu sokoSi kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
Hakuna shida by ijumaa nitakua free nitakua apo old airport au nyuma ya chuo cha TIA utanchek tuzungumze hakuna shida mkuuSehemu gan kwa mbeya maana naweza kufika tukazungumza
Sawa mkuu kama nitakuwa bado nipo mjini maana harakati ni nyingiHakuna shida by ijumaa nitakua free nitakua apo old airport au nyuma ya chuo cha TIA utanchek tuzungumze hakuna shida mkuu
Hakuna shida tuko pamojaSawa mkuu kama nitakuwa bado nipo mjini maana harakati ni nyingi
Ni kweli lakini bado ndio yenye nguvu sokoni mkuuImotion waliharibu waliingiza copy nyingi yaani feki zilizagaa zakaharibu soko
NimeonaKitu kingine kaambiwa aweke picha kaishia kutafuta picha za AliExpress ndio katuwekea humu
Wee hizo memory card kwa hizo bei unaagiza wapi?labla tuanze hapa kama lengo ni kusaidia wenzakoKikawaida hakuna biashara isio na changamoto kiongozi ivo mim nipo optimistic nacho jari ni final user awe satisfied ,uyo akinilalamikia nitaumia ila km wewe unaitaji kunikosoa bas siwez kukufunga coz nmawazo yako mkuu
Nafanya hii biashara hata kama sio kwa ukubwa sana lakini kwa hizo bei hataa labla ziwe ni hizi fake ambazo zimejaa huku mtaaniUnajua bei zake ni za wastani
Unajua biashara ni namna unavyo hitaji faida wengne wanahitaji faida kidogo ila mzunguko mkubwaNafanya hii biashara hata kama sio kwa ukubwa sana lakini kwa hizo bei hataa labla ziwe ni hizi fake ambazo zimejaa huku mtaani
Nitakupa offer ww na uyo ndugu mmoja anaitwa mndali ùyoo ambae ananiona tapeli bas andelee kuniona tapeli km 1week nitakua dar na ata km nisipo kua dar mtapa offer zenu mkiona ziko poa tutafanya biashara mkiona magumashi zitakua km sadaka tu
Wewe na mndari mnambie mpo wap now au mnitumie sms kwenye no. Zangu
Ndugu yangu upo kishar sana mkuu ata km kua curious this is too much ila much respect kwako ngojea uone feedback za wenzio then endelea kuamin kua hii ni biashara fakeWee hizo memory card kwa hizo bei unaagiza wapi?labla tuanze hapa kama lengo ni kusaidia wenzako
Bro! Naona umefanya km interrogation ongea na watu vzr upate connection wew hunifaham na km hunfaham bas jua sio vbaya kunyamza na kuangalia ambao wapo serious watakupa feedback stay tune brotherWee hizo memory card kwa hizo bei unaagiza wapi?labla tuanze hapa kama lengo ni kusaidia wenzako