Wakuu karibuni nauza mchele super kabisa kutoka mbeya kyela,kwa bei ya tsh 2000/kg na tsh 2200/kg nakuletea popote ndani ya dar kuanzia kg 50.
Napatikana msasani karibu na msaani shopping mall or ubalozi wa marekani.
Ukihitaji nicheck kwa namba 0685 993 994.
Asante karibuni