mkuu upo wapi? i mean eneo ulilopoHabari wanajamii
Mchele safi grade A kutoka mbeya ukihitaji wa kyela upo, wa kamsamba upo bei ni nafuu kabisaaa 1900 kwa kilo
Mawasiliano 0653623408
Kama ukifanikiwa kuuona utasadiki na wala siuzi kienyej brother ni hadi wateja wangu wanapoona ndipo nafanya nao biashara ...ukihitaj unaona kwanza ndipo biashara inafuataKaka mchele wa kyela hauuzwi bei sawa na michele mingine, na kuupata wenyewe original ni kazi sana...
Ndio mana nina wasiwasi ba hiyo bei yako..