Hiyo biashara ukitaka utoboe nayo vema usianze na hela za madafu.
Kama unataka kufanya serious, unatakiwa at least uwe na kama 10 million in cash kwaajiri ya kununua mchele tu sio mpunga. Halafu utaongeza hapo zile gharama za kuu process kwa mafuta na kuupaki, manunuzi ya mifuko, usafiri kuwalipa vibarua kupakia na kupakua..... Na kadhalika.
Uwe na soko lako la kueleweka sio ubebe mafurushi halafu hauna soko...... Utakuja kuwaletea madalali mzigo muanze kugombana watakapoanza kukupiga chenga za mwili.