Biashara ya mchele Mbeya-Dar

Biashara ya mchele Mbeya-Dar

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
319
Reaction score
195
Jamani kwa wale wazoefu mtaji unahitajika kuanzia shilingi ngapi naweza kufanya?
 
Mtu wa kunipakilia mzigo yupo sio lazima nisafiri mimi pia, naomba mchango wenu wazoefu
 
Hiyo biashara ukitaka utoboe nayo vema usianze na hela za madafu.

Kama unataka kufanya serious, unatakiwa at least uwe na kama 10 million in cash kwaajiri ya kununua mchele tu sio mpunga. Halafu utaongeza hapo zile gharama za kuu process kwa mafuta na kuupaki, manunuzi ya mifuko, usafiri kuwalipa vibarua kupakia na kupakua..... Na kadhalika.

Uwe na soko lako la kueleweka sio ubebe mafurushi halafu hauna soko...... Utakuja kuwaletea madalali mzigo muanze kugombana watakapoanza kukupiga chenga za mwili.
 
Kuna jamaa aliniambia huwa shirika la posta huwa linasafirisha mchele kwa bei rahisi sana
 
Back
Top Bottom