Biashara ya Mchele au ubwabwa

Biashara ya Mchele au ubwabwa

Masagala

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
3,497
Reaction score
6,536
Wadau wenzangu Wana jf, nauza Mchele mzuri ulionyooka grade 1 Tsh 1400 kwa kg 1na grade 2 tsh 1200kwa kg1, pia chenga mchele zipo tsh 500 kwa kg 1, pumba laini za kulishia mifugo zipo, gunia tsh 5000,kalibuni sana wateja popote mlipo napatkana Igunga Tabora namba za simu 0789235822
IMG_20200822_184029_126.jpg
 
Msimu huu mchele ni mwingi sana!!! Juzi nilikuwa mpanda, hata wanunuzi ni wakutafuta!!!! Sokoni nako umejaaa!! Ni tabu tupu!!!! Ila ni faida kwa mnyonge
 
Msimu huu mchele ni mwingi sana!!! Juzi nilikuwa mpanda, hata wanunuzi ni wakutafuta!!!! Sokoni nako umejaaa!! Ni tabu tupu!!!! Ila ni faida kwa mnyonge
Kama umejaa faida itakuja vp kwa mnyonge?
 
Ooh mchele wa tabora.......wengine tumezoea Moro au Mbeya....michele ya karibu na kanda ya ziwa ladha.........
 
Ooh mchele wa tabora.......wengine tumezoea Moro au Mbeya....michele ya karibu na kanda ya ziwa ladha.........
Kama hujui watu wengi wanaandaa vifungashio nembo wanaweka ni mchele wa mbeya,, kumbe unatoka Igunga,
 
Kama hujui watu wengi wanaandaa vifungashio nembo wanaweka ni mchele wa mbeya,, kumbe unatoka Igunga,
Sili mchele wa kwenye vifungashio nakula kitu cha moro asili hadi shamba mchele unapotoka nalijua
 
Kama umejaa faida itakuja vp kwa mnyonge?
Mlaji wa mwisho kwani sasa hata 1200,anapata mchele safi anakula!! Bei ya mchele inapolingana na bei ya unga mlala hoi lazima akimbilie ubwabwa!!!
 
Back
Top Bottom