Biashara ya masudu

Biashara ya masudu

Singinda boss, na kama unajua bei ya alizeti (mbegu) nijulishe
Habari Mkuu, Nina magunia sita ya alizeti. Nitayakamua wiki mbili zijazo. Nipo tayari kukuuzia mashudu yote yatakayopatikana baada ya kukamua siku hiyo Kwa tsh 150/= kwa kilo. Utachukua mzigo wako mashineni hapo hapo baada tu ya kukamua. Kama Upo tayari unipm, mzigo upo morogoro kiegea A
 
Uko shudu ziko nyingi?
 
Tupe jibu basi mkuu
Ni shudu inayotokana na alizeti nyeusi au nyeupe?
He mzigo upon kwa wing I?
 
Ni mchanganyiko wa alizeti nyeusi na nyeupe.
 
Habari Mkuu, Nina magunia sita ya alizeti. Nitayakamua wiki mbili zijazo. Nipo tayari kukuuzia mashudu yote yatakayopatikana baada ya kukamua siku hiyo Kwa tsh 150/= kwa kilo. Utachukua mzigo wako mashineni hapo hapo baada tu ya kukamua. Kama Upo tayari unipm, mzigo upo morogoro kiegea A
Mkuu, nashukuru kwa ujumbe. Naamini hautojali kunipatia namba yako ili tuwasiliane. Ninauhutaji sana wa mashudu.
 
Hayo ni mashudu ya aina gani?

Mimi nahitaji cakes na bei unauzaje?

Nahitaji kama tani tano.

Nijulishe.

Daah post ya kitambo hii mkuu
Cakes si ndo hayo boss umepeleka kwenye lugha ya wenzako tu
Yaliyoongelewa halo ni sunflower cakes

Kwa sasa sijui hupatikanaji wake maana hii post ya kitambo mkuu
 
Poa ila kuna sunflower cake za wachina wa shinyanga zipo kama unga ndio maana nikaweka mkazo mkuu
 
Back
Top Bottom