Tabora sehemu gani?Nina tani kazaa za mashudu ya alizeti na pumba za mahindi, natafuta soko nipo Tabora.
Kama uko gani nyingi nicheki inbox tukubaliane beiTafuta watu ambao wanafuga mbuzi katoliki. Ni chakula kizuri sana kwa hao jamaa. Maeneo yangu debe moja inauzwa 3,000 kubaraza ni 1,000. So ukijaribu kupata mtu wa uhakika mnaweza kufanya biashara nzuri
Wapi huko ndugu?Tafuta watu ambao wanafuga mbuzi katoliki. Ni chakula kizuri sana kwa hao jamaa. Maeneo yangu debe moja inauzwa 3,000 kubaraza ni 1,000. So ukijaribu kupata mtu wa uhakika mnaweza kufanya biashara nzuri
Tabora wilaya ya uramboTabora sehemu gani?
Igunga au?