kaka nashukuru sana kwa taarifa ila hapa JF bei ni muhimu kutaja mana hapa tupo kwa madaraja,ukipigiwa simu af ukisema million 5 si ndo utatuumiza,taja bei ili tujue kama tutaweza au lah na je hlo shamba lina documents zozote na sio eneo la barabara?