K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 16, 2014 #1 Natafuta mtu mwenye idea ya thailand jamani.mwenye kujua huko au mahali pengine ani pm.
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Apr 16, 2014 #3 Wewe mtanzania au mnyamulenge? Kiswahili gani umeandika hapo?
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Apr 16, 2014 #4 Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka.
Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka.
K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 19, 2014 Thread starter #5 Kiswahili kigumu wakuu.hoja yangu,natafuta soko la madini ya tanzanite thailand mwenye kujua huko na mazingira yake aniambie.
Kiswahili kigumu wakuu.hoja yangu,natafuta soko la madini ya tanzanite thailand mwenye kujua huko na mazingira yake aniambie.
K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 19, 2014 Thread starter #6 Biashara ya cheap stone siwezi@kiabasaka
K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 19, 2014 Thread starter #7 Shida ni ujumbe ukufikie wengine ndo tumetokea kijijini kantanamba hata rafudh za mjini bado hatuja copy#maundumula
Shida ni ujumbe ukufikie wengine ndo tumetokea kijijini kantanamba hata rafudh za mjini bado hatuja copy#maundumula
K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 19, 2014 Thread starter #8 Money Stunna said: Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka. Click to expand... Sawa mkuu ,natafuta masoko ya madini ya tanzanite pekee.ila ya aya hapa africa c yataki baadh nishafanya nao kazi.thailand ndo nataka jua kukoje huko kuhusu.tanzanite?nahisi utakuwa umenielewa
Money Stunna said: Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka. Click to expand... Sawa mkuu ,natafuta masoko ya madini ya tanzanite pekee.ila ya aya hapa africa c yataki baadh nishafanya nao kazi.thailand ndo nataka jua kukoje huko kuhusu.tanzanite?nahisi utakuwa umenielewa
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,266 Reaction score 9,237 Apr 20, 2014 #9 mkuu hao majamaa wathailand wanapenda sna saphire na ruby kwa tanzanite ungecheki usa au indian au hata wadutch nao wanachukua sna.
mkuu hao majamaa wathailand wanapenda sna saphire na ruby kwa tanzanite ungecheki usa au indian au hata wadutch nao wanachukua sna.
K kideleko Member Joined Apr 13, 2014 Posts 50 Reaction score 8 Apr 22, 2014 Thread starter #10 GEBA2013 said: mkuu hao majamaa wathailand wanapenda sna saphire na ruby kwa tanzanite ungecheki usa au indian au hata wadutch nao wanachukua sna. Click to expand... Ahsante mkuu nashukuru kwa kuniongezea kipya.
GEBA2013 said: mkuu hao majamaa wathailand wanapenda sna saphire na ruby kwa tanzanite ungecheki usa au indian au hata wadutch nao wanachukua sna. Click to expand... Ahsante mkuu nashukuru kwa kuniongezea kipya.