Biashara ya Lobster( Kamba Kochi)

Biashara ya Lobster( Kamba Kochi)

Che Braza

New Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu nauliza soko la bei nzuri la Lobster.
nimekua nikifanya biashara na mchina mmoja kwa muda sasa ila bei yake imekua ya kunyonga sana. J e kuna mdau yoyote mwenye idea ya soko zuri kwa hapa Dar au pia mahala pa kuwapata kwa bei nzuri walau 42,000 kwa kilo??

Nawasilisha
 
Mchina anakuibia, Zanzibar tunalipa Kg moja ya Lobster 18000tzs, na kamba hao huletwa toka huko Bara Mtwara nk
 
Mchina anakuibia, Zanzibar tunalipa Kg moja ya Lobster 18000tzs, na kamba hao huletwa toka huko Bara Mtwara nk
Hao watakuwa ni wadogo (gramu 500 kwenda chini), bei ya kamba koche kwa sasa ni Tsh 42000 kwenda juu kwa kama wakubwa
 
Ndugu nauliza soko la bei
nzuri la Lobster.
nimekua nikifanya biashara na mchina mmoja kwa muda sasa ila bei yake
imekua ya kunyonga sana. J e kuna mdau yoyote mwenye idea ya soko zuri
kwa hapa Dar au pia mahala pa kuwapata kwa bei nzuri walau 42,000 kwa
kilo??

Nawasilisha

Una uwezo wa kusupply kiasi gani? Unao wa aina ipi? Samaki wengine ulio na uwezo wa kuwaleta ni aina gani? Nijibu kwa email hii: riahradhey@yahoo.com
 
Back
Top Bottom