M Mtoto Tajiri JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 300 Reaction score 173 Feb 16, 2016 #1 Kuna mtu humu ana deal na hiyi biashara ya kujaza upepo na kuziba pancha?Shida yangu ni kujua bei ya ile mashine ya ku press tairi na compressa kubwa na mchanganuo kidogo wa biashara husika,Natanguliza shukrani
Kuna mtu humu ana deal na hiyi biashara ya kujaza upepo na kuziba pancha?Shida yangu ni kujua bei ya ile mashine ya ku press tairi na compressa kubwa na mchanganuo kidogo wa biashara husika,Natanguliza shukrani
S swisstiger Member Joined Dec 5, 2015 Posts 8 Reaction score 7 Feb 16, 2016 #2 Kama uko Dar nenda BN Company, Sam Nujoma rd, kabla hujafika Coca ukitokea Mwenge utapata mashine, compressors za ujazo tofauti, ushauri na bei
Kama uko Dar nenda BN Company, Sam Nujoma rd, kabla hujafika Coca ukitokea Mwenge utapata mashine, compressors za ujazo tofauti, ushauri na bei
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,114 Feb 16, 2016 #3 Mtoto Tajiri unataka kufanya biashara ya kuziba pancha sasa sisi watoto wa makabwela tukimbilie wapi?
Mtoto Tajiri unataka kufanya biashara ya kuziba pancha sasa sisi watoto wa makabwela tukimbilie wapi?
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Feb 16, 2016 #4 Japo sijauliza mimi lakini nimeyapenda maelezo yako. Kwa ufupi, unaijali shida ya mwenzio!
M Mbilikimo Mfupi JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 980 Reaction score 1,225 Feb 17, 2016 #5 Ok